SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja
(ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015
mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa majadiliano ya
malengo ya milenia yanayotazamiwa kumalizika mwakani na kuanza malengo
mapya, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
↧