Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za
Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya
mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya
kuripoti habari zote za uchaguzi.
Mwongozo huo utawabana pia wanasiasa ambao hupenda
kutumia vyombo vya habari kujisifia wakati wa kampeni kwa kutoa misaada
mbalimbali kwa jamii.
↧