Jeshi la Polisi wilayani Kyerwa limetumia mabomu ya machozi kupambana na wafuasi wa Chadema waliotaka kufanya mkutano wa ndani.
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe jana na Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee ambaye yuko ziarani
katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Msafara wa Mdee uliwasili katika Kijiji cha
Karukwara, Kata ya Isingiro saa 8:35 mchana na kwenda
↧