Na Patricia Kimelemeta-MTANZANIA
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka
2012/13, imeibua uozo mkubwa katika hesabu za vyama vya siasa.
Mbali ya uozo huo, CAG pia amebaini baadhi ya vyama havina ofisi
badala yake vimepanga hotelini na vingine sehemu za uchochoroni.
Ripoti hiyo inaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi
(CUF), Chama cha
↧