Lori la mafuta aina ya Scania likiwa limesheheni dizeli likitokea bandarini
jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani, liligonga tuta katika Barabara ya
Morogoro, eneo la Kimara-Baruti, likapoteza mwelekeo na kupinduka
kisha kuwaka moto na kuteketea kabisa.
Wakati lori
hilo likiwaka, mafuta yenye moto yalisambaa na kutaka kuunguza nyumba za
jirani lakini Kikosi cha Uokoaji na Zima Moto
↧