Aliyekuwa rais wa Zambia Michael Sata amefariki usiku wa jana tarehe
28 Oktoba kutokana na ugonjwa ambao bado serikali ya nchi hiyo haijaweka
wazi.
Sata (77) amefariki akiwa anatibiwa nchini Uingereza alikokuwa amelazwa kwa zaidi ya mwezi mmoja.
Rais huyo amefariki siku 4 baada ya nchi
hiyo kusherehekea madhimisho ya miaka 50 tangu ipate uhuru, ambapo
kutokana na kuwepo nje ya
↧