Watu
9 wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa vibaya katika ajali ya
barabarani iliyotokea katika eneo la Makumira wilayani Arumeru baada ya
basi dogo aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas amesema kuwa
ajali hiyo imetokea majira ya saa Kumi jioni baada ya basi hilo dogo
aina ya Nisan lenye namba za usajili T519 DBV
↧