Kuonesha wapo
‘serious’ na mavazi, polisi walimtaiti staa wa Bongo Fleva, Rashid
Makwiro ‘Chid Benz’ na kumtaka akavae vizuri kisha arejee mahakamani.
Tukio hilo lilitokea juzi, Jumanne katika Makahama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar, wakati staa huyo alipokuwa amefikishwa kusomewa
mashtaka yake ya kukutwa na madawa ya kulevya.
Akiwa katika viunga hivyo vya mahakama,
Chid
↧