‘BEAUTIFUL Onyinye’, WEMA Isaack Sepetu ‘Madame’ ametoa ya
moyoni na kufichua kwamba maisha yake ya umaarufu anayoishi yanamtesa
kwa asilimia 40.
Pamoja na mateso hayo, staa huyo wa filamu alisema
anafurahia maisha yake kama mtu maarufu ikiwamo na kuandikwa na vyombo
vya habari mara kwa mara.
“Kuna wakati najutia kuwa maarufu kwa asilimia kama 40 hivi lakini nashukuru kwani kwa
↧