MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu Prashant Patel
kubadilisha hati ya madai katika kesi aliyoifungua dhidi ya mshirika
wake, Hashim Lundenga.
Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Frank Moshi,
amemruhusu Patel kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa kampuni ya
Uwakili ya BM, baada ya kuiomba mahakama hiyo kufanya hivyo ili aweze
kuingiza gharama ambazo zilijitokeza baada ya
↧