Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid
Benz’ amepata dhamana mapema hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya
hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa hajakamilisha taratibu hizo.
↧