Katika hali isiyo ya kawaida, Limu Jumanne mkazi wa mkoani Singida, amemtimua na kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akidai ni mvivu na mzembe kutokana na kushindwa kudhibiti kundi la fisi walioshambulia na kuua ndama sita wa ng’ombe akiwa machungani.
Limu anayeishi kitongoji cha Itigi, kijiji cha Irisya wilayani Singida anadaiwa kufanya ukatili huo mwishoni mwa wiki baada ya mkewe kurejea
↧