Polisi mbaroni wakidaiwa kuhujumu mkutano wa Chadema Mkoani Geita
Polisi wawili wa kituo cha polisi wilaya ya Geita, Ernest Silayo na mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja juzi walikamatwa na walinzi wa Chadema, Red Brigedi, wakitaka kuhujumu mkutano...
View ArticleBig Brother Africa: Video ya mshiriki wa kiume wa Tanzania ( Idris ) akioga...
Tukiwa tunasubiria kwa hamu kubwa kuona ni nani ataondolewa leo usiku, hapo chini kuna video ya mshiriki wa kiume wa Tanzania ( Idris ) akiwa bafuni na mabinti wawili...
View ArticleYaliyojiri katika Viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa UKAWA
Yametimia!! Vyama vya Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD vimesaini makubaliano ya kuwa na ushirikiano katika shughuli za siasa ikiwa ni pamoja kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi mbalimbali za...
View ArticleChidi Benz kufikishwa mahakamani kesho Asubuhi
Msanii wa muziki Chidi Benz anatarajiwa kufikishwa mahakamani siku ya kesho kujibu mashitaka kutokana na kesi ya kukamatwa na Dawa za Kulevya, tukio lililotokea Ijumaa wiki iliyopita. Kwa mujibu wa...
View ArticleRais Kikwete Avunja Rekodi ya Dunia ....Apokelewa kwa pikipiki za Polisi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje kwa kuwa kiongozi wa...
View ArticleNakala ya makubaliano ya vyama vinavyounda UKAWA iko hapa
Pichani ni viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vilivyoingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa Oktoba 26, 2014. Miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha...
View Article“Ushindi wa CCM uchaguzi ujao hauepukiki.....Wapinzani Mtasubiri sana” asema...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar...
View ArticleNuh Mziwanda achora Tattoo ya pili yenye sura ya mpenzi wake Shilole
Wakati Nick Cannon ametoka kufunika Tattoo yenye jina la mke wake Mariah Carey ambaye wametengana kwa kuongeza mchoro mwingine juu yake hivi karibuni, msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ameongeza...
View ArticleBig Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Tanzania Atolewa.....Kupiga Punyeto...
Mshiriki wa kike wa Tanzania, Laveda, jana alitolewa rasmi katika jumba la big Brother Africa na kuifanya Tanzania kubaki na mshiriki mmoja tu ambaye ni Idris. Pamoja na...
View ArticleChannel O Yamtaja Diamond Platnumz Miongoni Mwa Wanamuziki 10 Waliobadilisha...
Juhudi na bidii za Diamond Platnumz katika muziki zinaonekana hata katika vituo vya kimataifa. Channel O imemtaja Diamond Platnumz kama mmoja wa wanamuziki walioleta mabadiliko makubwa katia...
View ArticleVurugu zazuka Mkutano wa BAWACHA Muleba
Mkutano wa mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee umeingia dosari baada ya vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM kuingia na...
View ArticlePolisi wateketeza mashamba ya bangi Morogoro
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limeendesha operesheni maalum ya kutokomeza bangi katika mkoa huo, kwa kuteketeza hekari Tano za mashamaba ya bangi mkoani humo. Baadhi ya wananchi wa tarafa ya Mgeta...
View ArticleKatibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akiri Udhaifu Serikalini
Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue amekiri kuwepo kwa mapungufu katika mfumo wa ufuatiliaji wa tathmini ya fedha na rasilimali za serikali hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya rushwa na...
View ArticleFreemasons Walipasua kanisa la Anglikana
Sakata la baadhi ya waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Nicholas Mwanza (DVN) kumkataa Askofu Mkuu, Boniphace Kwangu wakimtuhumu kuwa mwanachama wa imani ya Freemason limechukua sura mpya baada ya...
View ArticleKamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya atumiwa...
Paka watatu wenye macho mekundu walimshangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa pale alipowakuta katika mlango wa ofisi yake na...
View ArticleUsiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Uamuzi wa...
View ArticleCCM: Ndoa ya Wapinzani (Chadema,Cuf,Nccr-Mageuzi & Nld) ni FEKI.....Yasema...
NA Selina Wilson (Uhuru) CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na...
View ArticleMfanyabiashara Aliyejilipua kwa Risasi jijini Arusha Aibua Mambo Mazito
NA Lilian Joel ( Uhuru) SAKATA la Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitalii ya DAGT, Timoth Mroki, kujiua kwa kujilipua kwa risasi, limeibua mambo mapya kutokana na kuelezwa kuwa wivu wa kimapenzi. Habari...
View ArticleUtata wa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu kulivua Taji hilo
Siku moja baada ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ‘kueleza’ kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Facebook kulivua taji hilo, waandaaji wa mashindano hayo, Lino Agency International wamesema...
View ArticleChidi Benz afikishwa mahakamani akikabiliwa na Makosa 3
Rapa Chidi Benz, jana alifikishwa katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka yake kutokana na kosa la kupatikana na Dawa za Kulevya aina ya Heroine mwishoni mwa wiki iliyopita. Kutokana na...
View Article