Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Hukumu ya kifo yatangazwa kwa wanawake wanaojiuza pamoja na wateja wao

Katibu wa maendeleo ya jamii katika jiji la Abuja Nigeria, ametangaza ‘kiama’ kwa wanawake wanaofanya ‘biashara ya kujiuza’ pamoja na wateja wao.    Taarifa iliyochapishwa na Today Internet Newspaper...

View Article


Big Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi...

Video  za  washiriki  wa  jumba  la  big  brother  wakioga  bafuni  ziko  hapa. Video  hizi  ni  kuanzia  DAY 10  hadi  DAY  18. Kabla  hujaangalia  video  hizi, taarifa  zikufikie  kuwa  mshiriki...

View Article


CHADEMA wapata hati ya SHAKA ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata hati yenye shaka kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ya kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu zake zinazoishia Juni...

View Article

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akana kuwepo mgonjwa wa Ebola

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Leonidas Gama amekanusha uvumi ulioenea kuwa yupo mgonjwa wa Ebola mkoani humo.   Akizungumza na mwandishi wa habari wa Redio Sauti ya Injili katika kipindi cha Dira...

View Article

Ni marufuku kwa wanafunzi wa chuo kikuu kupigana busu

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba...

View Article


Alikiba akanusha kuandaa watu wamzomee Diamond kwenye Fiesta

Alikiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam....

View Article

BASATA lina siku 7 tu kubaini ukweli kuhusu skendo ya Sitti Mtemvu

Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeanza kuifanyia uchunguzi skendo inayomkabili Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kuhusiana na kudanganya umri wake. Baraza hilo lina siku saba tu kukamilisha kazi...

View Article

Chid Benz Akamatwa na Madawa ya Kulevya Airport

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es...

View Article


Big Brother Africa: Mshiriki wa kike wa Tanzania ( Laveda ) anaswa na kamera...

Leo  ni  siku  ya  20  tangu  Big Brother  Africa  ya  Mwaka  huu  ianze. Naamini   kwa  wale  wanaoifuatilia  wanaburudika  vya  kutosha  na  mambo  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  hilo. Ni...

View Article


MAONI: Uchunguzi ufanyike utata wa umri wa Miss Tanzania

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wameamua kuunda tume maalumu kuchunguza sakata la Miss Tanzania 2014,  Sitti Mtemvu.   Mbali ya...

View Article

Tanzania yapeleka vipimo vya ebola Nairobi

Vipimo vya mgonjwa aliyetoka nchini Senegal na kuwekwa kwenye karantini mjini Moshi kwa tahadhari ya ebola, baada ya kukaa nchini kwa siku 14 vimepelekwa katika maabara ya jijini  Nairobi nchini Kenya...

View Article

Nec yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura

Kitendawili cha tarehe rasmi ya Watanzania kupiga Kura ya Maoni itakayopitisha au kukwamisha Katiba Inayopendekezwa, kitateguliwa kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) baada ya kukamilisha uboreshaji...

View Article

Pinda asukiwa zengwe....Tuhuma zabuniwa dhidi yake, Lengo ni kupunguza nguvu...

Mkakati wa kumdhibiti Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, umeelekezwa kwa jamii ya wakulima na wafugaji hususani waliopo mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria. Hatua...

View Article


Sababu za Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani na Mbunge wa Morogoro Kusini)...

Kufuatia taarifa zilizozagaa mjini Morogoro na kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mbunge wa jimbo la morogoro kusini, Dk Lucy Nkya na mwanaye Jonas Nkya ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya...

View Article

Taarifa: China, Tanzania zasaini mkataba wa mabilioni ya uwekezaji

Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China leo, Alhamisi, Oktoba 23, 2014, zimetiliana saini Hati za Makubaliano (Memorandum of Undestanding) ambako taasisi za China zitawekeza mabilioni ya dola za Marekani...

View Article


Fisi Azua Tafrani Singida

Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa manispaa ya Singida wameingiwa na taharuki na kuanza kukimbia ovyo baada fisi kuonekakana katikati ya mji wa Singida akiwa anakimbia na kuingia katika maduka ya...

View Article

UKAWA kutoa msimamo wao Jumapili Jangwani

Kamati ya ufundi inayoshughulikia Oganizesheni ya Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) imeandaa mkutano wa hadhara unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki hii katika viwanja...

View Article


Mwanamke aliyejinusuru kubakwa na kumuua mbakaji, ahukumiwa kunyongwa.

Reyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la kumbaka.    Taarifa iliyoripotiwa na CNN inasema mwanamke huyo...

View Article

Mabomu manne ya kivita yakamatwa Zanzibar

Jeshi la Polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali...

View Article

Kukamatwa kwa Chidi: Nzowa atoa onyo kali

Kufuatia tukio la Msanii wa muziki Chidi Beenz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam, Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>