Alikiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa
kumzomea Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika October 18
katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Alikiba amesema kuwa hajui uvumi huo umeanza vipi.
“Hamna ukweli wowote, naanzaje?,” amehoji. “Siwezi kufanya kitu kama
hicho. Kikubwa ni kuwashukuru wana Dar es Salaam walivyonipokea,
↧