Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeanza kuifanyia uchunguzi skendo
inayomkabili Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kuhusiana na kudanganya
umri wake. Baraza hilo lina siku saba tu kukamilisha kazi hiyo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni, Juma Mkamia
aliiambia gazeti la Champion kuwa serikali imelikabidhi suala hilo kwa
Baraza la Sanaa la Taifa ili wafanye uchunguzi
↧