MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid
Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na
bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam, jana.
Akizungumza Kamanda wa Kuzuia na Kupambana
na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP, Alfred Nzowa, amethibitisha kutokea
kwa tukio hilo na kusema kuwa msanii huyo alikuwa njiani
↧