Leo ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze. Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburudika vya kutosha na mambo yanayotendeka ndani ya jumba hilo.
Ni Shindano ambalo halikuanzishwa kwa lengo la kuenzi mila na desturi za kiafrika, bali lilianzishwa kwa lengo moja tu la kutoa burudani ya kutosha ambayo mwisho wa siku
↧