Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa
la Taifa (Basata), wameamua kuunda tume maalumu kuchunguza sakata la
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Mbali ya kuunda tume hiyo itakayofanya kazi kwa
wiki moja, kwa siku mbili mfululizo wizara na Basata wamekuwa na vikao
virefu vya kujadili suala hilo ambalo hivi sasa limezua gumzo nchini.
Suala
↧