Vipimo vya mgonjwa aliyetoka nchini Senegal na kuwekwa kwenye
karantini mjini Moshi kwa tahadhari ya ebola, baada ya kukaa nchini kwa
siku 14 vimepelekwa katika maabara ya jijini Nairobi nchini Kenya kwa
uchunguzi.
Mbali na vipimo hivyo, lakini madaktari na wauguzi
wote waliomhudumia na wanaendelea kumhudumia mgonjwa huyo, nao
wamewekwa kwenye karantini wakisubiri majibu ya
↧