Katika
hali isiyo ya kawaida wakazi wa manispaa ya Singida wameingiwa na
taharuki na kuanza kukimbia ovyo baada fisi kuonekakana katikati ya mji
wa Singida akiwa anakimbia na kuingia katika maduka ya wafanya
biashara.
Wakieleza kwa hisia tofauti baadhi ya wakazi huku wengine wakiwa
wamepanda juu ya mapaa ya nyumba pamoja na watoto wao kwa hofu ya
kuumwa,wamesema kuonekana kwa
↧