Kamati
ya ufundi inayoshughulikia Oganizesheni ya Mikutano ya Umoja wa Katiba
ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) imeandaa mkutano wa hadhara
unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki hii katika viwanja vya Jangwani
Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati hiyo Bw. Singo Benson Kigaila amesema tayari wamesha fuata
taratibu zote za kufanyika kwa mkutano huo wa hadhara ikiwemo
↧