Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata hati yenye
shaka kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
baada ya kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu zake zinazoishia Juni
2011/12 na 2012/13
Ukaguzi huo ulifanyika kwa mujibu wa sheria namba 5
ya mwaka 1992 ya vyama vya siasa, iliyofanyiwa marekebisho na sheria
namba 7 ya mwaka 2009, unampa CAG mamlaka
↧