Kufuatia taarifa zilizozagaa mjini Morogoro na kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mbunge wa jimbo
la morogoro kusini, Dk Lucy Nkya na mwanaye Jonas Nkya ambaye ni mjumbe
wa halmashauri kuu ya CCM taifa kupitia vijana, kurushiana risasi kwenye
ofisi yao binafsi ya faraja trust fund, watu hao wawili wamekanusha
madai hayo na kudai yameleta athari kubwa katika familia yao.
↧