Mkakati
wa kumdhibiti Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika mbio za kuelekea
Uchaguzi Mkuu wa 2015, umeelekezwa kwa jamii ya wakulima na wafugaji
hususani waliopo mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria.
Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha
Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu
(BoT) jijini Mwanza.
Pamoja na kulenga ajenda
↧