Jeshi
la Polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu
manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika
katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali mbali nchini.
Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar CP Hamdani Omar Makame
amethibitisha kukamatwa kwa mtu huyo ambaye kwa mujibu wa jeshi hilo mtu
huyo amekiri kuwa anajishughulisha na
↧