Kufuatia tukio la Msanii wa muziki Chidi Beenz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam, Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aonya vijana kutokujihusha na dawa hizi kabisa.
Kamanda Nzowa amesema kuwa tukio la kukamatwa kwa msanii huyu mkubwa, ni nafasi ya jamii na vijana kujifunza na kuachana na dawa hizi ambazo
↧