Polisi wawili wa kituo cha polisi wilaya ya Geita, Ernest Silayo na
mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja juzi walikamatwa na
walinzi wa Chadema, Red Brigedi, wakitaka kuhujumu mkutano wa hadhara wa
Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha).
Askari hao walikuwa wamevalia sare za Chadema na wanadaiwa walikuwa wanarekodi hotuba za viongozi wa Baraza hilo.
Askari hao
↧