Watu Watatu wauawa katika mapigano ya wakulima na wafugaji huko Kigoma
Watu watatu wamekufa na wengine hawajulikani walipo baada ya kuzuka mapigano ya kugombea ardhi kati ya Wafugaji na Wakulima katika kijiji cha Kinyinya kata ya Nyamtukuza wilaya ya Kakonko mkoani...
View ArticleMuigizaji Wa Filamu Nchini Sherry Charles Magali Afariki Dunia.
Muigizaji wa filamu hasa za vichekesho nchini Sherry Charles Magali amefariki dunia jana saa nne asubuhi katika hospitali ya rufaa Morogoro. Sherry ambaye amecheza filamu nyingi amefariki baada ya...
View ArticleUfisadi wa kutisha.......CAG afichua Sh. milioni 214/- zilivyolipwa waliofeli...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia Juni 30, mwaka 2013, imeanika matumizi mabaya ya fedha za umma. Ripoti hiyo imehusisha mashirika mengi ya umma yakiwamo...
View ArticleJWTZ na Jeshi la China Wafanya Mazoezi ya Kijeshi Pamoja......Picha zote ziko...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kwa kushirikiana na Jeshi la Watu wa China wamezindua mazoezi ya siku 30 kwa kikosi maalumu cha Marine. Lengo la mazoezi...
View ArticleWatu 40 wakamatwa mkoani Katavi baada ya kukutwa wakinywa pomba saa za kazi...
WAKAZI 40 wa Tarafa ya Inyonga, Makao Makuu ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamekamatwa baada ya kukutwa wakinywa pombe asubuhi vilabuni na kwenye maduka yanayouza aina mbalimbali ya vinywaji....
View ArticleKimenuka sare za jeshi ( JWTZ) .....Meneja wa Diamond akamatwa na Polisi,...
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Diamond Platnumz, Nay wa Mitego na wasanii wengine waliovaa sare za jeshi kwenye show ya Fiesta Jumamosi iliyopita wapo matatani. Wasanii hao wamepewa amri...
View ArticleTaarifa kuhusiana na bweni la wanafunzi wa shule ya Sekondari kuteketea kwa...
Ajali kubwa ya moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, imetokea na kuteketeza bweni la wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro iliyopo eneo la Iwanzari, Tabora pamoja na vitu vyote...
View ArticleMwanajeshi wa JWTZ Aliyeua Mtu akimtuhumu kumsumbua Mkewe Afikishwa Mahakamani
Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na Mwanajeshi huyo. ****** Mwanajeshi wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki iliyopita akimtuhumu kumsumbua mkewe wakati wakiwa baa, Octavian...
View ArticleKauli rasmi ya Serikali kuhusu tetesi za kuwepo 'mgonjwa wa Ebola' Nchini
Utangulizi Mnamo tarehe 18 Oktoba 2014, Wizara ilipokea taarifa kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ya kuwepo kwa mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola. Mgonjwa huyu aliyekuwa na umri...
View ArticleDiamond Platnumz akamatwa na jeshi la Polisi.....Ahojiwa kwa masaa kadhaa na...
Baada ya meneja wake kukamatwa jana jioni na wacheza shoo wake kukamatwa leo asubuhi, hatimaye Diamond naye amejisalimisha Kituo cha Polisi cha Oyster Bay... Baada ya msanii huyo...
View ArticlePicha: Wengi wajitokeza kumzika msanii wa TMK Wanaume Family, YP
Mwili wa msanii 'YP' ambaye alifariki usiku wa kuamkia juzi katika hospitali ya Temeke Jijini Dar es salaam, umezikwa jana kwenye makaburi ya Chang'ombe. Mwili wa marehemu YP uliagwa jana mchana...
View ArticleVyeti vya Miss Tanzania 2014 vyaanza kuchunguzwa na RITA, ikibidi Polisi...
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), imeanza uchunguzi wa vyeti vya Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu, baada ya kuibuka utata wa taarifa za kuwapo vyeti viwili vinavyotofautiana...
View ArticlePinda atangaza Rasmi Kuwania Urais 2015
Siyo tetesi tena. Sasa ni rasmi kwamba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha wazi kuwa atagombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu mwakani. Alitoa uthibitisho...
View ArticleKiwango cha uwekezaji wa China kinavutia – Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anafurahishwa na kiwango cha uwekezaji wa makampuni ya Jamhuri ya Watu wa China katika uchumi wa Tanzania ambao...
View ArticleMauaji yasababisha machimbo kufungwa Kigoma
Serikali mkoani kigoma imeyafunga machimbo madogomadogo ya dhahabu katika kata ya Nyamtukuza wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, kutokana na kudaiwa kuwa chanzo cha mauaji ya watu watatu yaliyotokea...
View ArticleMgombea Udiwani 2015 Anaswa na Mwanafunzi Gesti
Mwanaume mmoja anayesemekana ni mfanyabiashara ambaye pia anatajwa kugombea udiwani wa kata moja iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, aliyetajwa kwa jina moja la mzee Beno amenaswa akiwa chumba...
View ArticleRais Kikwete Asema Urais ni kazi ngumu sana....Aona muda wa kumaliza Ngwe...
RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo unaotumika Tanzania ambako Rais anatumikia nafasi ya uongozi kwa muhula wa miaka mitano na si zaidi ya miaka 10 ni mzuri na unaovutia kwa sababu unaiwezesha nchi...
View ArticleMume Ajinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya KUMUUA Mkewe kwa...
MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe. Tukio hilo...
View ArticleMajambazi yapora Sh. Bilioni moja Benki ya Stanbic Dar....Wafanyakazi tisa wa...
Watu 13 wakiwamo wafanyakazi tisa wa Benki ya Stanbic jijini Dar wanashikiliwa na polisi baada ya majambazi kuiba fedha zaidi ya Sh1 bilioni jana jioni. Watu hao wanashikiliwa katika Kituo cha...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View Article