MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.
Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela ambaye amemtaja mwanamume huyo kuwa ni Ramadhani Abdallah, mkulima na mkazi wa kijiji cha Makale katika kata ya Mitundu,
↧