Watu 13 wakiwamo wafanyakazi tisa wa Benki ya Stanbic jijini Dar wanashikiliwa na polisi baada ya majambazi kuiba fedha zaidi ya Sh1
bilioni jana jioni.
Watu hao wanashikiliwa katika Kituo cha Oysterbay
kwa uchunguzi zaidi wa uporaji huo uliofanywa na majambazi yenye silaha
yaliyoingia katika Tawi la benki hiyo la Mayfair Plaza lililopo Barabara
ya Mwai Kibaki na kutokomea na kitita
↧