Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kamandi ya Jeshi la
Wanamaji kwa kushirikiana na Jeshi la Watu wa China wamezindua mazoezi
ya siku 30 kwa kikosi maalumu cha Marine.
Lengo la mazoezi hayo ni kubadilishana uzoefu na kuongeza ujuzi kwa
maafisa ikiwa ni njia mojawapo ya kukuza uhusiano uliodumu kwa miaka
mingi kati ya China na Tanzania.
Mkuu wa mafunzo na utendaji wa
↧