WAKAZI 40 wa Tarafa ya Inyonga, Makao Makuu ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamekamatwa baada ya kukutwa wakinywa pombe asubuhi vilabuni na kwenye maduka yanayouza aina mbalimbali ya vinywaji.
Wakazi hao ni pamoja na wanywaji wenyewe na wauzaji wa pombe hizo wakiwemo pia wachezaji wa mchezo wa pool ambapo walikiuka amri ya Mkuu wa Wilaya, Kanali Ngelela Lubinga ya kutocheza pool au
↧