Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Diamond Platnumz, Nay wa Mitego na wasanii wengine waliovaa sare za
jeshi kwenye show ya Fiesta Jumamosi iliyopita wapo matatani. Wasanii
hao wamepewa amri na jeshi la polisi kuzirudisha wao wenyewe sare hizo
kwenye kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Kuna taarifa kuwa meneja wa Diamond, Babutale alikuwa akishikiliwa na
polisi
↧