Ajali kubwa ya moto ambao chanzo chake
bado hakijafahamika, imetokea na kuteketeza bweni la wanafunzi wa shule
ya Sekondari ya Mtakatifu Petro iliyopo eneo la Iwanzari, Tabora pamoja
na vitu vyote vilivyokuwemo ndani ya bweni hilo.
ITV wameripoti kuhusiana na tukio hilo,
ambapo moto huo umezuka ghafla wakati wanafunzi wakiwa katika ibada na
hata baada ya taarifa kuwafikia askari wa
↧