Polisi wakiondoka mahakama ya wilaya Temeke leo na Mwanajeshi huyo.
******
Mwanajeshi wa JWTZ aliyeua mtu mwishoni mwa wiki
iliyopita akimtuhumu kumsumbua mkewe wakati wakiwa baa, Octavian Maurus Gowele amefikishwa mahakama ya wilaya Temeke
leo akishtakiwa kwa mauaji.
Mwanajeshi huyo amekana shitaka hilo na kesi yake
imeahirishwa mpaka Novemba 4, 2014.
↧