Ripoti
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia
Juni 30, mwaka 2013, imeanika matumizi mabaya ya fedha za umma.
Ripoti hiyo imehusisha mashirika mengi ya umma yakiwamo Shirika la Umeme
nchini (Tanesco), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB),
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Bodi ya Korosho,
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),
↧