Muigizaji wa filamu hasa za vichekesho nchini Sherry Charles Magali
amefariki dunia jana saa nne asubuhi katika hospitali ya rufaa Morogoro.
Sherry
ambaye amecheza filamu nyingi amefariki baada ya kuugua muda mrefu. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
↧