Watu
watatu wamekufa na wengine hawajulikani walipo baada ya kuzuka mapigano
ya kugombea ardhi kati ya Wafugaji na Wakulima katika kijiji cha
Kinyinya kata ya Nyamtukuza wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma.
Mapigano
hayo yametokea siku ya Jumatatu (Oktoba 20) katika eneo la mashambani
katika kijiji hicho, baada ya mfugaji mmoja kuuawa na mifugo yake
kukatwakatwa Jumatano iliyopita,
↧