Kama mambo yangeenda yalivyokuwa yamepangwa, baada ya Ramadhan, Wema
Sepetu angekuwa akiitwa Wema Naseeb! Lakini kutokana na sababu
mbalimbali Diamond Platnumz alisogeza mbele mipango ya kufunga ndoa na
mpenzi wake huyo.
“Kabla ya Ramadhan ilikuwa tufunge ndoa kabisa, lakini mambo
yakaingiliana,” Diamond alikiambia kipindi cha The Sporah Show.
“Mtoto
naye ni majaliwa sio kama
↧