Jumla
ya walimu 422 wamefutwa kazi kwa makosa mbalimbali ikiwemo kujihusisha
na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi kwa kipindi cha mwaka 2013/2014.
Kiwango
cha walimu wanaokwenda kinyume na maadili na kufutwa kazi kimeendelea
kuongezeka mwaka hadi mwaka, ambapo katika kipindi cha mwaka 2013/2014
walimu 422 wamefutwa katika maeneo mbalimbali nchini, wakiwemo watatu
kwa kubainika
↧