Mfuasi mmoja wa kundi la ISIS la Syria ameungana na wanajeshi kadhaa
wa kundi hilo kufanya mauaji ya kinyama kwa kumpiga mawe binti yake wa
kumzaa hadi kufa baada ya kugundulika kuwa alizini.
Kundi la ISIS limeachia video inayoonesha tukio hilo la kusikitisha linaloelezwa kufanyika katika jiji la Hama nchini Syria.
Katika video hiyo iliyoripotiwa pia na mtandao wa Mirror wa
↧