Wanasema dalili ya mvua ni mawingu, hivi ndivyo inavyoonekana katika
uhusiano wa Nicki Minaj na mpenzi wake Safaree Sam ambaye alikuwa
amejichora tattoo yenye picha ya Nicki na jina lake pia.
Wiki hii, Safaree ameonekana akiwa kifua wazi huku akiwa ameifunika
tattoo ya picha ya Nicki na jina lake kwa michoro mingine. Tattoo
nyingine aliyokuwa ameichora mkononi mwake inaonekana pia
↧