Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania – LHRC, pamoja na wadau
mbalimbali wa mchakato wa katiba, wanajadili uwezekano wa kuchukua hatua
za kisheria kuzuia zoezi la kura ya maoni kuhusu katiba mpya ambayo
imepangwa kufanyika mwakani.
Akizungumza
katika mahojiano na East Afrika Radio ofisini kwake jijini Dar es
Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa kituo hicho Dkt.
↧