Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

‘Kwaheri Tanzania’ Davido atoa shukrani zake baada ya kutumbuiza kwenye Fiesta!

Kuanzia Ijumaa iliyopita kulikuwa na taarifa kuwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam imemzuia Davido kutumbuiza kwenye show ya Fiesta jijini Dar es Salaam kwakuwa msanii huyo alikuwa ameshaingia...

View Article


Kambi ya Diamond yazungumzia tukio la kuzomewa kwenye Fiesta

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amesema haoni kama wameathirika na kundi la watu waliomzomea msanii huyo wakati akitumbuiza Jumamosi hii kwenye show ya Serengeti Fiesta, Leaders Club jijini Dar...

View Article


Katiba yakoleza kasi urais CCM

Siku chache baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba Inayopendekezwa, mchuano wa urais ndani ya CCM umeshika kasi baada ya makada wanaowania nafasi hiyo kujihakikishia uzito wa madaraka wanayoyatafuta....

View Article

Aliyedaiwa kufa kwa Ebola huko Sengerema mkoani Mwanza azikwa

Mwili wa Salome Richard (17) aliyefariki dunia katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza akidaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola ulizikwa juzi katika makaburi ya misheni mjini...

View Article

Maaskofu Katoliki wawagomea mashoga

MAASKOFU wa Kanisa la Katoliki juzi waligoma kupitisha mabadiliko makubwa ya kihistoria kuhusu msimamo wao mkali dhidi ya masuala ya ushoga, utoaji mimba na wanandoa waliotalikiana.   Uamuzi...

View Article


Mama na Watoto wake Wawili wachinjwa kinyama mkoani Tabora

WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.   Tukio hilo la kusikitisha...

View Article

Y-P wa TMK Wanaume Family afariki dunia....kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa...

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika...

View Article

Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela

Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp, baada ya timu yake ya utetezi kushindwa kumshawishi jaji Thokozile Masipa kumpa kifungo cha nje. Pia...

View Article


Tamko la JWTZ kuhusu katazo kwa wananchi kuvaa sare la jeshi linakanganya

Jumatatu ya wiki hii Jeshi la Wananchi Tanzania, JWTZ, lilitoa tamko kuhusu wananchi kumiliki au kuvaa sare za jeshi hilo. Japo tamko hilo la JWTZ limetoka kwa ufupi bila kuweka wazi kwanini wameamua...

View Article


Sitti Mtemvu akanusha kuwa na mtoto, asema ana miaka 23, hatovuliwa taji

Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amevilaumu vyombo vya habari kwa kueneza habari za uongo kuhusiana umri na maisha yake binafsi. Mtemvu amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo...

View Article

Umesikia kuhusiana na chanjo ya Ebola? Habari yote iko hapa

Shirika la afya duniani, WHO limearifu kuwa liko mbioni kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola, ambao umeripotiwa kuua takribani watu 4,500 huku nchi za Afrika Magharibi zikiripotiwa...

View Article

Baada ya T.I kupiga show ya nguvu Serengeti Fiesta na Kurudi Marekani,...

Msanii  mkubwa  wa  Marekani, T.I alikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano na kuisimamia hiyo show kwa...

View Article

Wanafunzi Waliwa Miguu na Mamba Wakioga Mtoni

Wanafunzi  wawili wa shule za msingi za Nyabisara (Murito) na Kerende Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara wameumwa hadi kuondolewa nyama zao za miguu na mamba walipokwenda kuoga maji ya mto kwa...

View Article


Bibi Harusi Atoroshwa siku chache kabla ya Ndoa kufungwa

Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya ndoa.Alipofika kituoni...

View Article

Majonzi Yatawala katika Msiba wa Mwananchi aliyeuawa na Askari wa...

Baadhi ya ndugu waliokuwa wakiuaga mwili wa Aron Kihundwa (28) kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar walijikuta wakidondoka na kuzimia kufuatia uchungu wa kumpoteza mpendwa wao huyo aliyedaiwa...

View Article


LHRC inafikiria uwezekano wa kupinga kura ya maoni ya katiba mpya

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania – LHRC, pamoja na wadau mbalimbali wa mchakato wa katiba, wanajadili uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria kuzuia zoezi la kura ya maoni kuhusu...

View Article

Nicki Minaj na boyfriend wake wamwagana? Boyfriend wake aifuta tattoo ya Nicki

Wanasema dalili ya mvua ni mawingu, hivi ndivyo inavyoonekana katika uhusiano wa Nicki Minaj na mpenzi wake Safaree Sam ambaye alikuwa amejichora tattoo yenye picha ya Nicki na jina lake pia.   Wiki...

View Article


Video: Ampiga mawe binti yake hadi kufa kwa kosa la kufanya mapenzi kabla ya...

Mfuasi mmoja wa kundi la ISIS la Syria ameungana na wanajeshi kadhaa wa kundi hilo kufanya mauaji ya kinyama kwa kumpiga mawe binti yake wa kumzaa hadi kufa baada ya kugundulika kuwa alizini.   Kundi...

View Article

Walimu 422 Wafukuzwa Kazi kwa Makosa Mbalimbali

Jumla ya walimu 422 wamefutwa kazi kwa makosa mbalimbali ikiwemo kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi kwa kipindi cha mwaka 2013/2014.   Kiwango cha walimu wanaokwenda kinyume na maadili...

View Article

Diamond angemuoa Wema kabla ya Ramadhan, aeleza sababu ya...

Kama mambo yangeenda yalivyokuwa yamepangwa, baada ya Ramadhan, Wema Sepetu angekuwa akiitwa Wema Naseeb! Lakini kutokana na sababu mbalimbali Diamond Platnumz alisogeza mbele mipango ya kufunga ndoa...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>