WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu
wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa
mapanga usiku wa kuamkia juzi.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora,
Suzan Kaganda, jana aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha
Nicolaus
↧