Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo
kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye
viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya
Chang’ombe karibu na maduka mawili.
Akizungumza na mtandao huu jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume
Family amesema mpaka sasa wapo kwenye maandalizi ya mazishi
↧