MAASKOFU wa Kanisa la Katoliki juzi waligoma kupitisha mabadiliko
makubwa ya kihistoria kuhusu msimamo wao mkali dhidi ya masuala ya
ushoga, utoaji mimba na wanandoa waliotalikiana.
Uamuzi huo,ulifichua uwapo wa pengo kubwa ndani ya kanisa hilo mwishoni wa mkutano huo wa wiki mbili.
Maaskofu wa kanisa hilo walikuwa wamekutana kujadili jinsi mafunzo ya
kanisa hilo yanavyoweza
↧