Siku chache baada ya Bunge Maalumu kupitisha Katiba
Inayopendekezwa, mchuano wa urais ndani ya CCM umeshika kasi baada ya
makada wanaowania nafasi hiyo kujihakikishia uzito wa madaraka
wanayoyatafuta.
Mjadala wa Katiba ulikuwa umewaweka njiapanda
makada hao, baadhi wakiwa wameshajitangaza na wengine wakijipanga
chinichini, huku wakijiuliza wawanie urais upi; wa Muungano, Tanganyika
↧