Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amesema haoni kama wameathirika
na kundi la watu waliomzomea msanii huyo wakati akitumbuiza Jumamosi
hii kwenye show ya Serengeti Fiesta, Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Tale amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa walikuwa na
taarifa kuhusu mpango huo hata kabla ya show na hivyo walijiandaa.
“Tulikuwa tumemjenga kisaikolojia, kwahiyo
↧